Akijua una hela na una options na chance kubwa ya kukutana na wanawake wazuri zaidi yake...
Kukuomba hela kwake itakuwa mwiko
Sababu ni moja anaogopa kumpoteza mwanaume wa thamani
Tatizo linakuja kwa wasimbe wenye shobo na hawajajipata
Ni vizinga tu mpaka uchanganyikiwe
Code Maalumu










