KONA YA SAIKOLOJIA Telegram channel photo

KONA YA SAIKOLOJIA

@konayasaikolojiaPublic Channel

Karibu kwenye Channel ya Elimu ya Saikolojia, ambapo tunatoa makala za kitaalamu, usimamizi wa hisia, mikakati ya maendeleo ya kibinafsi, na majadiliano ya kubadilishana mawazo. Buys ads on :https://adsly.me/@konayasaikolojia

BloggingfrançaisFrance

106

Last views

3.6k (3,608 subscribers)
Membre
—
Rating
50
Total Posts
Oct 15, 2026, 9:17 AM
Mis à jour
Apr 9, 2026
Created
Stats

Vous consultez le contenu en français. Pour afficher le contenu dans d'autres langues, veuillez modifier la langue du site.

Channel Information

Channel Information
Channel NameKONA YA SAIKOLOJIA
Username@konayasaikolojia
CategoryBlogging
Languagefrançais
CountryFrance
Membre3,608
Channel TypePublic Channel
Created9 avr. 2026
Last Updated15 oct. 2026 • il y a 6 jours
StatusActive

Classement

Classement mondial
#429407-830
Classement par langue
#3612-3
Classement par catégorie
#3257-9

Croissance des abonnés

Total: 3.6K30 Days growth: -1413.8%
09/1609/2109/2610/0110/0610/1110/15
Croissance des abonnés - 30 Days
DateSubscribers
16:09:20263,749
17:09:20263,749
18:09:20263,706
19:09:20263,706
20:09:20263,706
21:09:20263,706
22:09:20263,706
23:09:20263,706
24:09:20263,706
25:09:20263,706
26:09:20263,706
27:09:20263,706
28:09:20263,706
29:09:20263,706
30:09:20263,706
01:10:20263,706
02:10:20263,706
03:10:20263,706
04:10:20263,706
05:10:20263,706
06:10:20263,706
07:10:20263,706
08:10:20263,706
09:10:20263,706
10:10:20263,706
11:10:20263,706
12:10:20263,706
13:10:20263,706
14:10:20263,706
15:10:20263,608
Croissance des abonnés - Weekly
DateSubscribers
Week of 06:04:20264,910
Week of 13:04:20264,910
Week of 20:04:20264,910
Week of 27:04:20264,835
Week of 04:05:20264,835
Week of 11:05:20264,690
Week of 18:05:20264,690
Week of 25:05:20264,690
Week of 01:06:20264,690
Week of 08:06:20264,466
Week of 15:06:20264,466
Week of 22:06:20264,466
Week of 29:06:20264,233
Week of 06:07:20264,233
Week of 13:07:20264,233
Week of 20:07:20264,233
Week of 27:07:20264,233
Week of 03:08:20263,967
Week of 10:08:20263,967
Week of 17:08:20263,871
Week of 24:08:20263,813
Week of 31:08:20263,813
Week of 07:09:20263,749
Week of 14:09:20263,706
Week of 21:09:20263,706
Week of 28:09:20263,706
Week of 05:10:20263,706
Week of 12:10:20263,608
Croissance des abonnés - Monthly
DateSubscribers
April 20264,835
May 20264,690
June 20264,466
July 20264,233
August 20263,813
September 20263,706
October 20263,608
Croissance des abonnés - Yearly
DateSubscribers
20263,608

Derniers articles

KONA YA SAIKOLOJIA logo
KONA YA SAIKOLOJIA

12 oct. 2026, 11:21

Photo1/2
Waache warushe mawe; wewe unahitaji vifaa vya kujengea.

Si kila anayekukosoa anapaswa kukukatisha tamaa.

Wengine watakusema vibaya, watakudharau na kujaribu kukuvunja moyo.

Lakini badala ya kutumia nguvu zako kujibizana nao, geuza kila jiwe wanalokurushia kuwa tofali la kujenga mafanikio yako.

Mkuu Usipoteze muda kupambana na kila anayekupinga.

Jenga maisha yako kwa kutumia hata yale waliyokusudia kukubomolea.

Siku moja, nyumba yako itakuwa ushahidi wa namna ulivyogeuza chuki kuwa nguvu.
315007
KONA YA SAIKOLOJIA logo
KONA YA SAIKOLOJIA

02 oct. 2026, 09:34

Photo1/2
Sio kila kelele inahitaji majibu, na sio kila anayekupinga anastahili umakini wako.

Watu wataongea, watakosoa, watakudharau na wakati mwingine watajaribu kukutoa kwenye mstari.

Lakini ukijua unakokwenda, si lazima ugeuke kila unapoisikia sauti nyuma yako.

Kelele za pembeni zisikufanye usahau unakoelekea.
FAM naomba kuona reaction apa kwa wingi
6710015
KONA YA SAIKOLOJIA logo
KONA YA SAIKOLOJIA

17 sept. 2026, 08:04

Photo1/2
Wakati mwingine tunalazimisha milango ambayo Mungu hakukusudia ifunguke

Tunashikilia watu ambao hawatuchagui, na tunapigania vitu ambavyo vinatugharimu amani yetu.

Kuna wakati wa kupigana, lakini pia kuna wakati wa kuachilia. Jitahid kulazimisha furaha hata kama haipo

Usifikiri kuachilia ni kushindwa. Wakati mwingine kuachilia ni kujipenda, kujiheshimu na kujipa maisha nafasi ya kukuletea kilicho bora zaidi.

Kama kitu kinakuhitaji upoteze amani yako kila siku ili ukipate, jiulize kama kweli kinastahili gharama hiyo.
968007
KONA YA SAIKOLOJIA logo
KONA YA SAIKOLOJIA

07 sept. 2026, 11:37

Photo
Ulimi hufanyika baraka, at the same time hufanyika kizuizi kulingana na matumiz yake.

Unaouwezo wa kuzuia baraka kutokana na namna umezoeza ulimi wako,. Imetupasa kuwa na uchaguzi wa vitu na mambo ya kutamka

Mfano; unayomamlaka ya kujizuia kutamka matusi, hata ukiwa umekorofishwa na kuendeleza kutamka baraka hata unapo udhiwa
1,590006
KONA YA SAIKOLOJIA logo
KONA YA SAIKOLOJIA

07 sept. 2026, 11:37

Photo
Maisha hayawezi kwenda kama ulivyopanga kila muda.

Kuna wakati Maisha yatakupa majibu tofauti na uliyoyatarajia. Kuna muda yatakuja mazuri ya kukufurahisha na kuna muda yatakuja magumu ya kukuumiza yote ni sehemu ya maisha.

Usichoke wala kukata TAMAA.Endelea kusogea pale unapotamani kufika.

Weka reaction yako kama umependa post hii🙏
1,4600017
KONA YA SAIKOLOJIA logo
KONA YA SAIKOLOJIA

07 sept. 2026, 11:37

Photo
Tofauti ya mshindi na wengine si kwamba hashindwi…

Ni kwamba haachi kujaribu hata baada ya kuanguka mara nyingi.
1,040005
KONA YA SAIKOLOJIA logo
KONA YA SAIKOLOJIA

07 sept. 2026, 11:37

Photo
Nguvu haiji bila maumivu, na ukuaji hauji bila changamoto.

Lakini ndani ya kila hali ngumu, kuna nafasi ya kuwa toleo bora zaidi la wewe.

Mwisho wa siku, si kilichokupata kinachoamua ni jinsi unavyochagua kujibu.
1,130006
KONA YA SAIKOLOJIA logo
KONA YA SAIKOLOJIA

07 sept. 2026, 11:37

Photo
Maji hayana nguvu ya ghafla… lakini yana ushindi wa muda mrefu.

Kwa uvumilivu na kurudia, yanavunja hata kitu kigumu zaidi.

Usikate tamaa kwa sababu huoni matokeo haraka. Endelea, hata hatua ndogo ndizo zitajenga ushindi mkubwa.

Kuwa kama maji: tulivu, thabiti, na usiyeacha mpaka uone matokeo.

Finally Water breaks rock not because of its strength, but because of its consistency. Be like water. Don’t give up
1,360006
KONA YA SAIKOLOJIA logo
KONA YA SAIKOLOJIA

04 sept. 2026, 21:41

Photo1/2
Kila kiumbe kinaweza kuwa na historia ambayo huijui. Wengine wamewahi kuumizwa, kutelekezwa au kutendewa vibaya.

Usihukumu tabia yao kwa kile unachokiona sasa. Huruma haigharimu chochote, lakini inaweza kubadilisha maisha ya kiumbe mwingine.

Kuwa mwema kwa wanyama. Hawana sauti ya kueleza maumivu yao, lakini wanahisi.
1,070007
KONA YA SAIKOLOJIA logo
KONA YA SAIKOLOJIA

23 août 2026, 05:34

Photo
Watu wanaweza kukutia moyo, lakini hawataweza kubeba ndoto zako.

Nguvu ya kweli iko ndani yako katika nidhamu yako, maamuzi yako, na hatua zako za kila siku.

Kuna siku utachoka, utapoteza hamasa… lakini hapo ndipo unapotakiwa kuendelea zaidi.

Kwa sababu hakuna mtu atakayekutaka ushinde kama wewe unavyotakiwa kutaka kushinda.
1,220007
KONA YA SAIKOLOJIA logo
KONA YA SAIKOLOJIA

17 août 2026, 16:23

Photo1/2
Huenda leo unapiga magoti ukiomba nafasi, mafanikio, na maisha bora ambayo bado hujayaona.

Usikate tamaa kwa sababu tu hujafika unapotaka. Kila mtu mwenye ndoto kubwa aliwahi kuwa na hatua ambayo alikuwa anaomba tu apate nafasi ya kuifikia kesho.
Endelea kufanya kazi. Endelea kujifunza. Endelea kuomba.
Siku moja utaangalia nyuma na kugundua kwamba yale uliyokuwa ukiyaombea kwa machozi, Mungu alikupa kwa wakati wake.
1,4600011
KONA YA SAIKOLOJIA logo
KONA YA SAIKOLOJIA

07 août 2026, 19:38

Photo1/2
Furaha ya kweli haiji kwa kuwa na kila kitu, bali kwa kuthamini mambo madogo yanayofanya maisha yawe na maana.

Thamini afya uliyonayo, watu wanaokupenda, tabasamu la kweli, amani ya moyo, na kila hatua ndogo ya maendeleo.

Mara nyingi, mambo madogo tunayoyapuuza leo ndiyo yanayokuja kuwa kumbukumbu kubwa kesho.

Furaha si kuwa na maisha makamilifu; ni kuwa na moyo unaojua kuthamini kile ulicho nacho.
1,520002
KONA YA SAIKOLOJIA logo
KONA YA SAIKOLOJIA

07 août 2026, 19:36

Photo1/2
Maisha huwa mepesi zaidi unapojua kuna mtu anayekuamini, anayekusikiliza, na anayesimama upande wako hata katika nyakati ngumu.

Wakati mwingine, maneno machache ya kutia moyo yanaweza kubadilisha siku nzima ya mtu.

Kuwa mtu ambaye uwepo wake huleta tumaini, si hofu. Huleta amani, si mashaka.

Wakati mwingine, zawadi kubwa zaidi unayoweza kumpa mtu ni kumfanya ajue kwamba hayuko peke yake.
Kama umenielewa usisite kuacha reaction 🙏🏾✊🏾🤝
1,180009
KONA YA SAIKOLOJIA logo
KONA YA SAIKOLOJIA

25 juil. 2026, 11:45

Photo1/2
Ukipata nafasi ya kusaidia, usisite kusaidia. ❤️🤝

Kuna watu hawahitaji muujiza mkubwa; wanahitaji tu mtu mmoja atakayewapa mkono wa kuinuka.

Usidharau wema mdogo unaoweza kufanya leo. Kwako unaweza kuonekana ni jambo la kawaida, lakini kwa mwingine unaweza kuwa mwanzo wa maisha mapya.

Kumbuka, utajiri wa kweli haupimwi kwa kiasi ulichonacho, bali kwa idadi ya maisha uliyogusa kwa wema wako.

Fanya mema unapopata nafasi. Huenda wewe ukawa jibu la maombi ya mtu mwingine.
1,2500012
KONA YA SAIKOLOJIA logo
KONA YA SAIKOLOJIA

13 juil. 2026, 13:39

Photo1/2
Ni siku nyingine Najua wengi mmechoka na hali ngumu za maisha…

lakini Leo nimekuja kukutia moyo usikate tamaa. Hakuna hali inayodumu milele.”

Unachopitia leo si mwisho wako. Endelea kupambana, hata hatua ndogo ina maana.

Kumbuka: Giza halidumu mwanga unakuja. ✊
1,2600014
KONA YA SAIKOLOJIA logo
KONA YA SAIKOLOJIA

08 juil. 2026, 23:24

Photo1/2
Mapambano ya kuelekea kwenye ndoto hayakosi uchovu, changamoto, na nyakati za kukata tamaa.

Lakini waliofanikiwa si wale ambao hawakuchoka—ni wale walioendelea mbele licha ya uchovu.

Pumzika ikiwa ni lazima, jikusanye upya, lakini usiache safari kabla hujafika mwisho.

Usiache kwa sababu umechoka. Acha pale tu utakapomaliza kile ulichokianza.
1,330007
KONA YA SAIKOLOJIA logo
KONA YA SAIKOLOJIA

08 juil. 2026, 23:22

Photo1/2
Furaha haianzi na kiasi cha pesa ulicho nacho, wala haitegemei hali zote kuwa kamilifu. Mara nyingi huanza na namna unavyochagua kuutazama maisha.

Unaweza kuwa na kila kitu lakini ukakosa amani, na unaweza kuwa na kidogo lakini ukaishi kwa shukrani na furaha.

Usisubiri kila kitu kikamilike ndipo uanze kufurahia maisha. Jifunze kuthamini ulicho nacho huku ukiendelea kupigania unachokitamani.

Furaha ya kweli huanzia ndani ya akili yako, si kwenye mazingira yanayokuzunguka.
1,210007
KONA YA SAIKOLOJIA logo
KONA YA SAIKOLOJIA

26 juin 2026, 18:17

Photo1/2
Mitandao ya kijamii mara nyingi huonyesha sehemu nzuri za maisha ya watu, si maisha yao yote.

Usijilinganishe na picha, video, au mafanikio unayoyaona mtandaoni. Watu wengi huchapisha furaha zao, lakini hawachapishi mapambano yao.

Kile kinachoonekana kama maisha kamili kwenye screen kinaweza kuwa na changamoto nyingi nyuma ya pazia.

Ishi maisha yako, jenga ndoto zako, na usiruhusu mitandao ikufanye ujione uko nyuma.
1,460009
KONA YA SAIKOLOJIA logo
KONA YA SAIKOLOJIA

22 juin 2026, 17:17

Photo1/2
Sio kila deni hulipwa kwa pesa.

Kuna deni la wazazi waliokesha kwa ajili yako, marafiki waliokusimamia nyakati ngumu, walimu waliokuelekeza, na watu waliokuamini wakati dunia ilipokuwa na mashaka na wewe.

Baadhi ya fadhila ni kubwa sana kiasi kwamba haziwezi kulipwa kikamilifu. Kinachowezekana ni kuishi kwa shukrani na kuendeleza wema huo kwa wengine.
1,370008
KONA YA SAIKOLOJIA logo
KONA YA SAIKOLOJIA

14 juin 2026, 17:05

Photo1/2
Simu inaweza kujenga maisha yako au kuyapoteza kimya kimya kulingana na unavyoitumia.

Tumia muda wako kujifunza, kufanya kazi, kujenga skills, na kutafuta opportunities…

si kukimbia majukumu ya maisha halisi.

Watu wengi wana distraction mkononi mwao kila siku bila kugundua.

Ukidhibiti matumizi ya simu yako, unaanza kudhibiti muda na future yako pia.
1,540008
KONA YA SAIKOLOJIA logo
KONA YA SAIKOLOJIA

14 juin 2026, 16:53

Photo1/2
Pesa ikipotea unaweza kuipata tena.Biashara ikifeli unaweza kuijenga upya.

Lakini muda unaopita na maisha unayoishi leo haviwezi kurudi tena.

Usitumie maisha yako yote kutafuta pesa mpaka usahau kuishi, kupenda, kujifunza, na kufurahia safari ya maisha.

Tafuta mafanikio, lakini usipoteze afya yako, amani yako, na watu muhimu katika maisha yako.
1,270006
KONA YA SAIKOLOJIA logo
KONA YA SAIKOLOJIA

08 juin 2026, 11:21

Photo1/2
Sio kila mzigo umeumbwa ubebwe milele.

Wakati mwingine amani yako huanza pale unapokubali kuachilia maumivu, chuki, majuto, na watu ambao hawachangii chochote kwenye ukuaji wako.

Kushikilia kila kitu si ishara ya nguvu. Mara nyingine nguvu halisi ni kujua nini cha kuachilia na lini cha kuachilia.
Usibebe jana kiasi cha kushindwa kuishi leo.
1,330009
KONA YA SAIKOLOJIA logo
KONA YA SAIKOLOJIA

03 juin 2026, 12:45

Photo1/2
Wakati mwingine unauliza, unasubiri, na huoni majibu haraka.

Lakini kuchelewa kwa Mungu si kukunyima ni kukuandaa kwa kile kilicho bora zaidi.

Kile unachokiona kama kuchelewa leo, huenda ni ulinzi dhidi ya kitu ambacho hakikuwa sahihi kwako.

Amini mchakato, endelea kuwa na imani, na usikate tamaa.
1,2900010
KONA YA SAIKOLOJIA logo
KONA YA SAIKOLOJIA

26 mai 2026, 07:15

Photo1/2
Hofu itakuonyesha sababu za kuacha… lakini maono yatakuonyesha sababu za kuendelea.

Kila mtu mwenye ndoto kubwa hukutana na vikwazo, mashaka, na changamoto njiani.

Usiruhusu kile unachoogopa leo kiwe kikubwa kuliko maisha unayotamani kesho.

Angalia mbali zaidi ya maumivu, zaidi ya kushindwa, na zaidi ya hali uliyonayo sasa.
1,5800010
KONA YA SAIKOLOJIA logo
KONA YA SAIKOLOJIA

20 mai 2026, 02:57

Photo
Hatua ya kwanza si kukimbia ni kuamua.

Kuamua kwamba hali uliyonayo haitoshi tena, na uko tayari kubadilika.

Mabadiliko huanza pale unapokataa kubaki sehemu ile ile. Ukibaki comfortable sana, ndoto zako zinabaki mbali.

Amua leo… kisha chukua hatua, hatua ndogo ndiyo mwanzo wa safari mpya.
629004
KONA YA SAIKOLOJIA logo
KONA YA SAIKOLOJIA

20 mai 2026, 02:57

Photo
Furaha haitokani na kile ulicho nacho… bali namna unavyochagua kufikiri kuhusu kile ulicho nacho.

Wengine wana kila kitu lakini hawana amani, na wengine wana kidogo lakini wana furaha ya kweli.

Akili yako ndiyo chanzo ukijifunza kuthamini, kukubali, na kuishi sasa, furaha inakuwa sehemu yako, si kitu cha kusubiri.

Kwa sababu furaha si mahali pa kufika… ni hali unayochagua kuishi nayo kila siku.
742009
KONA YA SAIKOLOJIA logo
KONA YA SAIKOLOJIA

20 mai 2026, 02:57

Photo
Talent peke yake haitoshi… consistency ndiyo hutengeneza matokeo.

Kipaji kinaweza kukupa mwanzo mzuri, lakini bila kurudia, bila kujitoa kila siku kitabaki hadithi tu.

Mkuu utofauti hauletwi na kile unachoweza kufanya mara moja, bali kile unachofanya kila siku bila kukata tamaa.

Wakati wengine wanategemea talent, wewe tegemea nidhamu.
Kwa sababu kile unachofanya kwa uthabiti ndicho kinachokujenga kuwa mtu wa kiwango cha juu.
966005

Showing 30 of 50 posts

Note

Connexion requise

Frequently Asked Questions

De quoi parle le canal Telegram KONA YA SAIKOLOJIA ?+

KONA YA SAIKOLOJIA (@konayasaikolojia) est un canal Telegram classé dans Blogging sur tgdio. Classement, notes, avis et publications récentes pour décider avant de vous abonner. Il compte actuellement environ 3 608 abonnés sur tgdio.

Comment rejoindre KONA YA SAIKOLOJIA (@konayasaikolojia) sur Telegram ?+

Ouvrez le profil sur tgdio, puis utilisez Join / Open in Telegram pour aller sur @konayasaikolojia et vous abonner gratuitement.

KONA YA SAIKOLOJIA est-il un bon canal Blogging ?+

Sur tgdio, consultez la note, les avis, le classement et les publications de KONA YA SAIKOLOJIA avant de rejoindre. Il compte actuellement environ 3 608 abonnés sur tgdio. Comparez avec d’autres canaux Blogging.

Où voir les stats et publications de KONA YA SAIKOLOJIA ?+

Sur tgdio, ouvrez la page @konayasaikolojia pour les stats abonnés, classement, notes et publications. Le lien Stats montre la croissance.