Kilimo Biashara Telegram channel photo

Kilimo Biashara

@kilimobiashara1Public Channel

Karibu kwenye Chanel ya Kilimo Biashara upate mafunzo ya kilimo chenye faida. Mafunzo haya ni bure

Actu BusinessfrançaisFrance

591

Last views

2.4k (2,389 subscribers)
Membre
—
Rating
17
Total Posts
Oct 16, 2026, 3:03 AM
Mis à jour
Apr 13, 2026
Created
Stats

Vous consultez le contenu en français. Pour afficher le contenu dans d'autres langues, veuillez modifier la langue du site.

Channel Information

Channel Information
Channel NameKilimo Biashara
Username@kilimobiashara1
CategoryActu Business
Languagefrançais
CountryFrance
Membre2,389
Channel TypePublic Channel
Created13 avr. 2026
Last Updated16 oct. 2026 • il y a 7 jours
StatusActive

Classement

Classement mondial
#347397-594
Classement par langue
#2720+2
Classement par catégorie
#5541-14

Croissance des abonnés

Total: 2.4K30 Days growth: -451.8%
09/1609/2109/2610/0110/0610/1110/15
Croissance des abonnés - 30 Days
DateSubscribers
16:09:20262,434
17:09:20262,434
18:09:20262,424
19:09:20262,424
20:09:20262,424
21:09:20262,424
22:09:20262,424
23:09:20262,424
24:09:20262,424
25:09:20262,424
26:09:20262,424
27:09:20262,424
28:09:20262,424
29:09:20262,424
30:09:20262,424
01:10:20262,424
02:10:20262,424
03:10:20262,424
04:10:20262,424
05:10:20262,424
06:10:20262,424
07:10:20262,424
08:10:20262,424
09:10:20262,424
10:10:20262,424
11:10:20262,424
12:10:20262,424
13:10:20262,424
14:10:20262,424
15:10:20262,389
Croissance des abonnés - Weekly
DateSubscribers
Week of 13:04:20262,907
Week of 20:04:20262,907
Week of 27:04:20262,837
Week of 04:05:20262,837
Week of 11:05:20262,837
Week of 18:05:20262,769
Week of 25:05:20262,769
Week of 01:06:20262,769
Week of 08:06:20262,769
Week of 15:06:20262,769
Week of 22:06:20262,769
Week of 29:06:20262,599
Week of 06:07:20262,599
Week of 13:07:20262,599
Week of 20:07:20262,599
Week of 27:07:20262,599
Week of 03:08:20262,599
Week of 10:08:20262,599
Week of 17:08:20262,484
Week of 24:08:20262,484
Week of 31:08:20262,456
Week of 07:09:20262,434
Week of 14:09:20262,424
Week of 21:09:20262,424
Week of 28:09:20262,424
Week of 05:10:20262,424
Week of 12:10:20262,389
Croissance des abonnés - Monthly
DateSubscribers
April 20262,907
May 20262,769
June 20262,769
July 20262,599
August 20262,456
September 20262,424
October 20262,389
Croissance des abonnés - Yearly
DateSubscribers
20262,389

Derniers articles

Kilimo Biashara logo
Kilimo Biashara

06 sept. 2026, 10:01

Photo
Shamba Kubwa Linauzwa. Fursa Adimu ya Uwekezaji Kilimo na Makazi.

Eneo hili lipo Wilaya ya Kilolo, Iringa.
Takribani kilomita 40 kutoka Ipogolo. Mazingira tulivu.

Ardhi yenye rutuba. Linafaa kwa uwekezaji wa kilimo, ufugaji, au mapumziko ya shamba.

Sifa za shamba:
• Ukubwa wa shamba: Ekari 60

• Ekari 25 tayari zimepandwa mikaratusi ya kisasa. Spacing 3x3. Inafaa sana kwa uzalishaji wa miti ya nguzo na mbao nyekundu.

• Shamba linapakana na mto chini ya bonde. Chanzo kizuri cha maji kwa shughuli za kilimo.

Nyumba ya kisasa ya shambani (Farm House)
• Sebule kubwa
• Jiko
• Vyumba 2 vya kulala
• Choo na bafu
• Stoo kubwa
• Chimney
• Madirisha ya vioo
• Nyumba imejengwa kwa matofali na saruji imara

Hii ni fursa nzuri kwa mtu anayehitaji shamba kubwa tayari lina miundombinu na uwekezaji wa miti unaokua.

Bei: Tsh 76,000,000

Mawasiliano
0763 071007
Wasiliana sasa upate maelezo zaidi au kupanga kwenda kuliona shamba.
525000
Kilimo Biashara logo
Kilimo Biashara

29 avr. 2026, 12:20

Video
Safari imeanza! 🌴🚛 Kutoka kitaluni kwetu kuelekea Dumila, Morogoro!

​Tunafurahi kuona wateja wetu wanazidi kuchangamkia fursa ya kijani.
Hii miche ya nazi bora kabisa inakwenda kubadilisha shamba la mteja wetu kuwa uwekezaji wa kudumu.

Mvua hizi zisikupite hivi hivi, huu ndio wakati sahihi wa kupanda!

OFA MAALUM YA MSIMU WA MVUA.

Kutoka Kilimo Biashara tunakuletea ofa maalumu ya msimu wa mvua.

• Nunua miche 50 upate miche 10 bure= Jumla unapata miche 60

• Nunua miche 100 upate miche 20 bure Jumla miche 120

• Nunua miche 500 upate miche 100 bure= Jumla miche 600

• Nunua miche 5,000 upate miche 1,000 bure= jumla unapata miche 6,000

Ofa inaanzia miche 50.
Ofa hii inahusu miche bora ya:
• Papai
• Parachichi
• Embe
• Chungwa
• Limao
• Ndimu
• Chenza
• Passion
• Strawberry
• Zaituni
• Migomba, minazi nk

KUMBUKA
Ofa hii inaisha tarehe 31 Machi 2026

Wasiliana nasi
Kilimo Biashara
Simu 0763 071007

Anza kupanda sasa. Miti ya matunda ni uwekezaji wa miaka mingi. Ukianza leo unajipatia kipato cha baadaye.
297000
Kilimo Biashara logo
Kilimo Biashara

16 avr. 2026, 08:43

Sababu 3 zinazofanya miche mingi kufa baada ya kupandwa

Wakulima wengi hununua miche ya matunda kwa matumaini makubwa. Baada ya miezi michache sehemu ya miche hukauka au kufa kabisa. Tatizo mara nyingi halitoki kwenye mbegu pekee. Mara nyingi hutokana na makosa ya msingi wakati wa kupanda na kusimamia miche.
Ukielewa makosa haya mapema utaokoa muda, fedha na nguvu kazi.

Sababu ya kwanza. Shimo la kupanda kutotayarishwa vizuri
Wakulima wengi hupanda miche haraka bila maandalizi sahihi ya shimo. Shimo dogo au lisilo na mboji husababisha mizizi kushindwa kukua vizuri.
Shimo la kupanda linapaswa kuwa na nafasi ya kutosha ili mizizi iweze kuenea. Udongo unahitaji kuchanganywa na mboji au mbolea iliyooza vizuri. Hii husaidia mizizi kupata virutubisho na kushika udongo kwa haraka.
Shimo likiwa duni, miche hukosa nguvu ya kuanza ukuaji na hatimaye hukauka.

Sababu ya pili. Upungufu wa maji baada ya kupanda
Baada ya kupandwa, miche inahitaji maji ya kutosha ili kuzoea mazingira mapya. Wakulima wengi hupanda miche na kuacha mvua peke yake ifanye kazi.
Katika siku za mwanzo mizizi huwa bado haijapanuka. Bila maji ya kutosha miche hupoteza nguvu na hukauka haraka.
Ni muhimu kumwagilia miche mara kwa mara hasa wiki za mwanzo baada ya kupanda. Hii husaidia mizizi kuanza kushika udongo na kuanza ukuaji.

Sababu ya tatu. Kuchagua miche isiyo na ubora
Ubora wa miche unaamua mafanikio ya shamba tangu mwanzo. Miche dhaifu au isiyoandaliwa vizuri hushindwa kustahimili mazingira ya shambani.

Miche bora huwa na mizizi imara, shina lenye nguvu na ukuaji mzuri. Miche ya aina hii ina uwezo mkubwa wa kuendelea kukua hata baada ya kuhamishwa kutoka kwenye kitalu kwenda shambani.

Wakulima wanaotumia miche bora hupunguza sana hatari ya miche kufa baada ya kupandwa.

Hivi sasa ni kipindi kizuri cha kupanda miti ya matunda kwa sababu mvua zinasaidia miche kukua vizuri na kupunguza gharama za umwagiliaji.

OFA MAALUMU YA MSIMU WA MVUA
Nunua miche 50 upate miche 10 bure
Nunua miche 100 upate miche 20 bure
Nunua miche 500 upate miche 100 bure
Nunua miche 1000 upate miche 200 bure

Ofa hii inawahusu wateja wanaonunua miche kuanzia 50 na kuendelea.
Mwisho wa ofa ni tarehe 31 Machi 2026.

Tunapatikana Kilimo Biashara kwa ajili ya miche bora ya matunda pamoja na ushauri wa kitaalamu wa kupanda na kusimamia bustani ya matunda.
Wasiliana nasi kupitia simu 0763 071007.
266000
Kilimo Biashara logo
Kilimo Biashara

16 avr. 2026, 08:43

Ratiba sahihi ya kupanda miche ya matunda wakati wa mvua:


Msimu wa mvua ni kipindi bora cha kuanzisha shamba la matunda. Udongo una unyevu wa kutosha. Miche inapata mazingira mazuri ya kuanza maisha yake shambani.

Wakulima wengi huuliza swali hili:
Je, kama mvua tayari zimeanza na sikuandaa shamba mapema nifanye nini?

Jibu ni rahisi: Bado unaweza kupanda. Usikose fursa ya msimu wa mvua.

Ni kweli maandalizi ya shamba hufanyika wiki kadhaa kabla ya mvua. Hii husaidia kurahisisha kazi na kuandaa mazingira mazuri ya miche. Lakini kama hukufanya hivyo mapema bado unaweza kuanza sasa.

Hatua sahihi za kufuata kama mvua tayari zimeanza:

1. Anza kuchimba mashimo sasa
Usisubiri msimu mwingine. Anza kuchimba mashimo mara moja.

Vipimo vizuri vya mashimo kwa miti mingi ya matunda:
Urefu futi 2
Upana futi 2
Kina futi 2

2. Baada ya kuchimba, changanya udongo wa juu na samadi au mboji.
Kama una muda, acha shimo kwa siku chache kabla ya kupanda. Kama huna muda unaweza kupanda siku hiyo hiyo baada ya kuchanganya udongo vizuri.

3. Panda mara tu baada ya shimo kuandaliwa
Lengo kuu ni kupanda wakati udongo bado una unyevu mzuri. Hivyo usichelewe sana.

Ukichimba mashimo leo unaweza kupanda miche siku hiyo hiyo au siku inayofuata. Mvua itaendelea kusaidia miche kushika.
Panda mapema kadri unavyoweza ndani ya msimu wa mvua
Kadri unavyopanda mapema ndani ya msimu wa mvua, ndivyo miche inavyopata muda mrefu wa kukua.
Miche iliyopandwa mapema hupata:
Mizizi yenye nguvu
Ukuaji mzuri
Uwezekano mkubwa wa kustawi

4. Fanya matunzo ya awali baada ya kupanda
Baada ya kupanda:
Weka matandazo kuzunguka mche
Hakikisha maji hayasimami kwenye shimo
Linda miche dhidi ya mifugo
Hatua hizi huongeza sana kiwango cha miche kushika.

Ujumbe muhimu kwa mkulima:
Usikose kupanda kwa sababu hukufanya maandalizi mapema. Msimu wa mvua bado upo. Unaweza kuanza leo na kuanzisha bustani yako ya matunda.
Wakulima wengi waliofanikiwa walianza kwa hatua ndogo. Jambo muhimu ni kuanza.

Ofa maalumu ya msimu wa mvua:

Ili kuwasaidia wakulima wengi kuanzisha bustani za matunda kipindi hiki cha mvua, kampuni ya Kilimo Biashara imeandaa ofa maalumu ya miche bora ya matunda.
Nunua miche 50 upate miche 10 bure
Nunua miche 100 upate miche 20 bure
Nunua miche 500 upate miche 100 bure
Nunua miche 1,000 upate miche 200 bure
Tunapatikana na miche bora ya matunda kama:
Parachichi
Embe
Chungwa
Papai
Staferi
Ndimu
Na miche mingine ya matunda

Kwa mawasiliano na oda ya miche
Piga simu au WhatsApp: 0763 071007

Anza sasa wakati mvua zipo. Panda leo ili kesho uvune matunda.

Kumbuka: Ofa hii ni kwa mwezi huu tu wa March 2026.
197000

Showing 17 of 17 posts

Note

Connexion requise

Frequently Asked Questions

De quoi parle le canal Telegram Kilimo Biashara ?+

Kilimo Biashara (@kilimobiashara1) est un canal Telegram classé dans Actu Business sur tgdio. Classement, notes, avis et publications récentes pour décider avant de vous abonner. Il compte actuellement environ 2 389 abonnés sur tgdio.

Comment rejoindre Kilimo Biashara (@kilimobiashara1) sur Telegram ?+

Ouvrez le profil sur tgdio, puis utilisez Join / Open in Telegram pour aller sur @kilimobiashara1 et vous abonner gratuitement.

Kilimo Biashara est-il un bon canal Actu Business ?+

Sur tgdio, consultez la note, les avis, le classement et les publications de Kilimo Biashara avant de rejoindre. Il compte actuellement environ 2 389 abonnés sur tgdio. Comparez avec d’autres canaux Actu Business.

Où voir les stats et publications de Kilimo Biashara ?+

Sur tgdio, ouvrez la page @kilimobiashara1 pour les stats abonnés, classement, notes et publications. Le lien Stats montre la croissance.